Friday, January 25, 2013



Kakakuona
Kakakuona ni wanyama wa familia Manidae ambao wamepambika na magamba na wana mkia mrefu. Wakitaka kujikinga dhidi ya wanyama mbuai wanajikunja. Hula mchwa na sisimizi na pengine wadudu wengine ambao huwakamata na ulimi wao mrefu wa kunata. Huishi katika kishimo cha kina cha hadi 3.5 m au katika mti mvungu.
Hizi ni baadhi ya Aina  ya Kakakuona wanaopatikana Africa
Aina za Mabara Mengine
KAKAKUONA WA CHINA
               











Preapred By Khadil