Saturday, June 18, 2011

LEO KATIKA DARAJA LA MTO KAGERA BY KHADIL




Ikiwa wew ni mtu wa kagera bila shaka unajua kwa undani kuhusu mto kagera.Ni mto ambao  umeweza kutumiwa na nduli Amini kama shimo la kuwachimbia watu wa uganda na tz hakika mto huu utaushangaa kwa maji yake yenye rangi nyekundu na yakustaajabisha.Leo katika makala hii tutakuonyesha picha na pia daraja linalounganisha Kagera na uganda ambalo ni matunda ya jeshi letu watanzania kwa ushirikiano turiao nao.IMEANDALIWA NA KHADIL

Wednesday, June 8, 2011

Thursday, June 2, 2011

KATIKA UCHUMI WETU

Add caption
Ni mara nyingine katika uchumi wetu Tanzania tukiangalia kwamba ela yetu inazidi kuporomoka  huku tukienderea kupata tabu pindi dollar inapopanda bac naona iwe changamoto kwa serikari kuhakikisha ela teu haishuki thamani.

uvuvi

uvuvi nao una faida zake katika hali ya kujiretea kipato mbalimbali
Ni kijana mdogo na mwenye umri mdogo ila katika gemu la muziki kijana anaweza ile mbaya na tunamkubari.