Saturday, December 13, 2014

MTANI JEMBE


 

 

 

 

 

 

 

ONGERENI MASHABIKI WA SIMBA KWA KUIBUKA KIDEDEA KATIKA MECHI YA KUMTAFUTA MTANI JEMBE ILIYOPIGWA LEO KATIKA  UWANJA WA TAIFA.HAKIKA  LEO KIMEELEWEKA BAADA YA YANGA KUKUBALI KUPIGWA GOLI  MBILI KWA NUNGE

Friday, January 25, 2013



Kakakuona
Kakakuona ni wanyama wa familia Manidae ambao wamepambika na magamba na wana mkia mrefu. Wakitaka kujikinga dhidi ya wanyama mbuai wanajikunja. Hula mchwa na sisimizi na pengine wadudu wengine ambao huwakamata na ulimi wao mrefu wa kunata. Huishi katika kishimo cha kina cha hadi 3.5 m au katika mti mvungu.
Hizi ni baadhi ya Aina  ya Kakakuona wanaopatikana Africa
Aina za Mabara Mengine
KAKAKUONA WA CHINA
               











Preapred By Khadil

Tuesday, October 2, 2012













                                         KHADIL

Tuesday, June 12, 2012

Thursday, June 7, 2012

HAPA JAMA WAKIFANYA MAANDALIZI YA BAISKERI HIYO

Add caption

WAKIWA WANACHOMELEA VYUMA KWA AJILI YA BAISKERI HIYO

HAPA WAKIMPA SUPORT YA KUIPANDA BAISKERI HIYO

HAPA AKIWA MTAANI AKIWA TAYARI AMEFANIKIWA KIRE ALICHOKITARAJIA