Saturday, June 18, 2011

LEO KATIKA DARAJA LA MTO KAGERA BY KHADIL




Ikiwa wew ni mtu wa kagera bila shaka unajua kwa undani kuhusu mto kagera.Ni mto ambao  umeweza kutumiwa na nduli Amini kama shimo la kuwachimbia watu wa uganda na tz hakika mto huu utaushangaa kwa maji yake yenye rangi nyekundu na yakustaajabisha.Leo katika makala hii tutakuonyesha picha na pia daraja linalounganisha Kagera na uganda ambalo ni matunda ya jeshi letu watanzania kwa ushirikiano turiao nao.IMEANDALIWA NA KHADIL

No comments:

Post a Comment