Thursday, June 2, 2011

KATIKA UCHUMI WETU

Add caption
Ni mara nyingine katika uchumi wetu Tanzania tukiangalia kwamba ela yetu inazidi kuporomoka  huku tukienderea kupata tabu pindi dollar inapopanda bac naona iwe changamoto kwa serikari kuhakikisha ela teu haishuki thamani.

No comments:

Post a Comment