LEO ARSENAL KATIKA MAZOEZI BY KHADIL
Leo camera ya blog hii imeweza kukutana na vijana wa arsenal wanaojifua kwa ajiri ya mechi za ligi kuu zinazo karibia kuanza mapema mwezi wa nane.Timu hii inapata changamoto mbalimbali ikiwemo ya kuondoka kwa mchezaji gael clichy aliyetimkia man cicty huku zikiwepo tetesi mbalimbali za kuondoka kwa nasri na bendtner.
No comments:
Post a Comment