Saturday, June 18, 2011
LEO KATIKA DARAJA LA MTO KAGERA BY KHADIL
Ikiwa wew ni mtu wa kagera bila shaka unajua kwa undani kuhusu mto kagera.Ni mto ambao umeweza kutumiwa na nduli Amini kama shimo la kuwachimbia watu wa uganda na tz hakika mto huu utaushangaa kwa maji yake yenye rangi nyekundu na yakustaajabisha.Leo katika makala hii tutakuonyesha picha na pia daraja linalounganisha Kagera na uganda ambalo ni matunda ya jeshi letu watanzania kwa ushirikiano turiao nao.IMEANDALIWA NA KHADIL
Wednesday, June 8, 2011
Thursday, June 2, 2011
KATIKA UCHUMI WETU
Subscribe to:
Posts (Atom)