Saturday, December 13, 2014

MTANI JEMBE


 

 

 

 

 

 

 

ONGERENI MASHABIKI WA SIMBA KWA KUIBUKA KIDEDEA KATIKA MECHI YA KUMTAFUTA MTANI JEMBE ILIYOPIGWA LEO KATIKA  UWANJA WA TAIFA.HAKIKA  LEO KIMEELEWEKA BAADA YA YANGA KUKUBALI KUPIGWA GOLI  MBILI KWA NUNGE