Wednesday, February 16, 2011

LEO 16/02/2011 NI KIVUMBI LIGI YA MABIGWA BARANI ULAYA

Leo wale mabigwa wa kusakata soka la kiwango cha hali ya juu wanakutana katika mechi ambayo arsenal atakuwa mwenyeji wa barcelona katika uwanja wa fly emirates mechi itakayochezwa saa 4;45 katika muda wa africa mashariki huku ikifahamika kuwa barcelona anayo record nzuli ya kumshinda arsenal hivo wana arsenal tusiwe na wasiwasi make mechi hii tutaishinda bila shida hivo wana wa arsenal  kuwa tusiwe na wasiwasi kila kitu tunaweza make nasri atakuwepo bila shida yoyote.