Saturday, December 13, 2014
Friday, January 25, 2013
Kakakuona ni wanyama wa familia Manidae ambao
wamepambika na magamba na wana mkia mrefu. Wakitaka kujikinga dhidi ya wanyama
mbuai wanajikunja. Hula mchwa na sisimizi na
pengine wadudu
wengine ambao huwakamata na ulimi wao mrefu wa kunata. Huishi katika
kishimo cha kina cha hadi 3.5 m au katika mti mvungu.
Hizi ni baadhi ya Aina
ya Kakakuona wanaopatikana Africa
- Phataginus tricuspis , Kakakuona-miti (Tree Pangolin)
- Smutsia gigantea, Kakakuona Mkubwa (Giant Pangolin)
- Smutsia temminckii, Kakakuona-nyika (Ground Pangolin)
- Uromanis tetradactyla, Kakakuona Mkia-mrefu (Long-tailed Pangolin)
Aina za Mabara Mengine
- Manis crassicaudata, Kakakuona Mhindi (Indian Pangolin)
- Manis culionensis, Kakakuona wa Ufilipino (Philippine Pangolin)
- Manis javanica, Kakakuona wa Malay (Sunda Pangolin)
- Manis pentadactyla, Kakakuona wa Uchina (Chinese Pangolin)
KAKAKUONA WA CHINA
Preapred By Khadil
Friday, January 11, 2013
Thursday, November 1, 2012
Thursday, June 7, 2012
HAPA JAMA WAKIFANYA MAANDALIZI YA BAISKERI HIYO |
Add caption |
WAKIWA WANACHOMELEA VYUMA KWA AJILI YA BAISKERI HIYO |
HAPA WAKIMPA SUPORT YA KUIPANDA BAISKERI HIYO |
HAPA AKIWA MTAANI AKIWA TAYARI AMEFANIKIWA KIRE ALICHOKITARAJIA |
Subscribe to:
Posts (Atom)